Over 6 Years Of Experience & Reputation
Fame Tanzania Limited ni Kampuni ya Kitanzania inayosambaza na kuunganisha vifaa vya mifumo ya usalama (Security Gadgets System). tuna ujuzi na uzoefu wa muda mrefu, bidhaa zetu zina ubora wa hali ya juu kukupa mteja wetu uhakika wa usalama uwapo nyumbani au kazini.
Anza sasa kutumia bidhaa zetu na ufaidike na usalama wa mali zako.
Fame Tanzania inakupa uhuru wa kuishi maisha ya furaha

Karubu tukuhudumie Popote Ulipo
Secure your Home, Business place for reliable and safety life. Fame Tanzania products will enrich your live with smile
Catalogs & Product Brochure

Motor Gate
Wahi sasa zimebaki kidogo

Car Alarm System
Make your Order Today

Solar Lighting
Reliable at Cheap Price

Smoke Detector
Alert and Fire Danger

Dog's Color Belt
Decorate your Petty Dog

Burglar Alarm System